Sunday, April 7, 2013

BONGO MOVIES WAPATA LUNCH NYUMBANI KWA WEMA SEPETU....


CEO wa kampuni ya Endless Fame Pro' Wema Sepetu
Leo amewaalika wasanii wenzake wa Bongo Movie
Nyumbani kwake Kijitonyama
kujumuika nae kwa pamoja kwenye Chakula cha mchana.....
Hatman & Irene Uwoya
Mayaa & Steve Nyerere
Mayaa
Chuchu Hans & Chopa wa mchopanga
Chidi Classic,Chuchu & Shamsa F'
Irene Uwoya
Hatman
Steve Nyerere
JB
Ray